Najuaje uhai wa bima yangu?

Unaweza kujua kuhusu bima yako wakati wowote. Kupitia simu yako ya mkononi, nenda kwenye njia uliyotumia kununulia bima, iwe duka.direct au TigoPesa kisha fuata maelekezo.