Jinsi ya kununua

Ni rahisi! Unaweza kununua Hifadhi Biashara kwenye simu yako ya mkononi kupitia app ya duka.direct na TigoPesa au kwa kupiga *150*01# kisha fuata maelekezo.