Hifadhi Biashara inagharimu kiasi gani?

Bei ya Hifadhi Biashara ni TZS 84,000 kwa mwaka. Mteja wetu ana uhuru wa kulipa kwa mwezi TZS 7,000 au miezi mitatu kwa TZS 21,000 na miezi 6 kwa TZS 42,000.

Kwa mwezi

TZS 7,000
TZS
7,000

(pamoja na kodi)

Kwa robo mwaka

TZS 21,000
TZS
21,000

(pamoja na kodi)

Miezi 6

TZS 42,000

(pamoja na kodi)

Miezi 12

TZS 84,000

(pamoja na kodi)