Gharama za mazishi

Tutafidia hadi TZS 1,000,000 Kwako ikitokea mrithi wako amefariki na tutafidia TZS 1,000,000 kwa Mrithi wako kwa tukio la kifo chako.

Utahitaji kuwa na vyeti vya kifo au mazishi kisha piga +255 677 066 697 kuripoti madai yako.