Bei ya Hifadhi Biashara ni TZS 84,000 kwa mwaka. Mteja wetu ana uhuru wa kulipa kwa mwezi TZS 7,000 au miezi mitatu kwa TZS 21,000 na miezi 6 kwa TZS 42,000.