Nunua kwa duka.direct

Unaweza kununua Hifadhi Biashara kwa njia ya duka.direct, tafadhali scan QR code upakue app au bofya hii link upakue app.

duka.direct

Tafadhali soma hati ya bima kwa Kiswahili au Lugha ya Kingereza ili upate taarifa zaidi