Tembelea wakala wa Selcom uweze kununua bima ya hifadhi biashara.
Tafadhali soma hati ya bima kwa Kiswahili au Lugha ya Kingereza ili upate taarifa zaidi