Piga *150*01#
Chagua 7 Huduma za Fedha
Chagua 3 Bima
Chagua 3 Hifadhi Biashara
Chagua 1 Nunua bima
Chagua 1 kuendelea
Ingiza jina la biashara/ Jina la kusajilia bima
Ingiza mnufaika/Mrithi
Chagua aina ya malipo
Ingiza neno siri
Utapokea ujumbe wa uthibitisho