Unaweza kujua kuhusu bima yako wakati wowote. Kupitia simu yako ya mkononi, nenda kwenye njia uliyotumia kununulia bima, iwe duka.direct au TigoPesa kisha fuata maelekezo.
Piga *150*01#
Chagua 7 Huduma za Fedha
Chagua 3 Bima
Chagua 3 Hifadhi Biashara
Chagua 3 Angalia usajili
Utapokea ujumbe wa hali ya bima