Gharama za mazishi

Tutafidia hadi TZS 1,000,000 Kwako ikitokea mrithi wako amefariki na tutafidia TZS 1,000,000 kwa Mrithi wako kwa tukio la kifo chako.

Piga *150*01#

Chagua 7 Huduma za Fedha

Chagua 3 Bima

Chagua 3 Hifadhi Biashara

Chagua 2 Madai

Chagua 1 kudai kwa ajili yako au Chagua 2 kudai kama mrithi

Chagua 5 Bima ya kifo

Ingiza tarehe ya kifo

Utapokea ujumbe wa uthibitisho wa kupokea madai yako na maelekezo kutembelea https://hifadhibiashara.co.tz/claims/new kutuma picha ya cheti cha kifo/mazishi

Tafadhali soma hati ya bima kwa Kiswahili au Lugha ya Kingereza ili upate taarifa zaidi