Ikiwa utaibiwa au pesa zako zimeibiwa kutoka kwa majengo yako, tunafidia hadi TZS 250,000.
Piga *150*01#
Chagua 7 Huduma za Fedha
Chagua 3 Bima
Chagua 3 Hifadhi Biashara
Chagua 2 Madai
Chagua 1 kudai kwa ajili yako
Chagua 3 Upotevu wa pesa
Ingiza kiasi
Ingiza namba ya polisi ripoti
Utapokea ujumbe wa uthibitisho wa kupokea madai yako. Tutawasiliana na wewe tukihitaji taarifa zaidi