Ikiwa mali yako imeharibiwa na huwezi kulipa kodi yako kama matokeo, tunafidia hadi TZS 1,000,000 kwa gharama yako ya kodi hadi siku 10 kufuatia madai ya uharibifu wa mali.
Piga *150*01#
Chagua 7 Huduma za Fedha
Chagua 3 Bima
Chagua 3 Hifadhi Biashara
Chagua 2 Madai
Chagua 1 kudai kwa ajili yako
Chagua 4 Bima ya kodi ya pango
Ingiza kiasi
Utapokea ujumbe wa uthibitisho wa kupokea madai yako na maelekezo kutembelea https://hifadhibiashara.co.tz/claims/new kutuma picha ya mkataba wa pango