Kabla bima yako haijaisha muda wake, utapokea ujumbe kuilipia. Utaweza kuilipia kwa kupitia programu ya app au piga nambari ya USSD *150*01#. Tumia maelekezo ya kunua bimya.
Piga *150*01#
Chagua 7 Huduma za Fedha
Chagua 3 Bima
Chagua 3 Hifadhi Biashara
Chagua 4 Usajili mpya
Chagua 2 Kubadilisha muda wa malipo
Chagua muda mpya wa malipo
Ingiza namba ya siri
Utapokea ujumbe wa uthibitisho