Jinsi ya kurudia malipo

Kabla bima yako haijaisha muda wake, utapokea ujumbe kuilipia. Utaweza kuilipia kwa kupitia programu ya app au piga nambari ya USSD *150*01#. Tumia maelekezo ya kunua bimya.

Piga *150*01#

Chagua 7 Huduma za Fedha

Chagua 3 Bima

Chagua 3 Hifadhi Biashara

Chagua 4 Usajili mpya

Chagua 1 Kuendelea

Ingiza namba ya siri

Utapokea ujumbe wa uthibitisho

Tafadhali soma hati ya bima kwa Kiswahili au Lugha ya Kingereza ili upate taarifa zaidi