Wizi

Katika uendeshaji wa biashara, kuna wizi unaoweza kutokea na kusababisha mali yako kuibiwa. Hii ni hasara kwako na tutafidia hadi TZS 1,000,000 ndani ya mwaka mmoja.

Unachohitaji kufanya ni kutujulisha kwa simu yako na kufuata maelekezo mepesi pamoja na polisi ripoti namba ya tukio.

Kama kila kitu kiko sawa, tutafidia hasara yako ndani ya siku 3 kwenye simu yako.

Kwa taarifa zaidi soma hati ya bima kwa Kiswahili au Lugha ya Kingereza au wasiliana na Sanlam au Howden Puri