Gharama za mazishi

Tunaelewa kwamba wapendwa wako wengi wanakutegemea na mwenye biashara pia anamtegemea mrithi wake.

Kwa sababu hii tutafidia hadi TZS 1,000,000 kwako ikitokea mrithi wako amefariki na tutafidia TZS 1,000,000 kwa mrithi wako kwa tukio la kifo chako. Hii ndio sababu kwanini tunakuomba utupatie namba ya simu ya mrithi wako unapojisajili na Hifadhi Biashara.

Unachohitaji kufanya ni kutujulisha kwa simu yako na kufuata maelekezo mepesi. Aidha utatujulisha tarehe ya kifo pamoja na nakala ya cheti cha kifo au maziko na tutakulipa au mrithi wako.

Kama kila kitu kiko sawa, tutafidia hasara yako ndani ya siku 3 kwenye simu yako.

kin

Kwa taarifa zaidi soma hati ya bima kwa Kiswahili au Lugha ya Kingereza au wasiliana na Sanlam au Howden Puri