Unapopata tatizo, utalipwa kirahisi kwenye akaunti yako ya TigoPesa. Fuata maelekezo mafupi ya jinsi ya kudai yeyote kati ya fidia hizi.
Tafadhali soma hati ya bima kwa Kiswahili au Lugha ya Kingereza ili upate taarifa zaidi